Mishono Ya Vitambaa 2017 Vya Satini

huwa tunakuletea Mishono mbalimbali ya nguo,leo tuna mishono ya lace ,vitenge na satin.Naomba kuiita hii peplum new level wengine waita peplum ya visu mana mshono wa chini ni wa mikato flani ya visu.African Print  imemixiwa na Fringe.tunatupia Mishono mikali ilokiki kwa wiki nzima huko mitandaoni


Continue reading Mishono Ya Vitambaa 2017 Vya Satini