atika mavazi na moja ya mavazi mhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza sema Wanaafrika wamesahau kabisa vazi hili hebu angalia kwa makini haya mavazi yaliyo shonwa kwa kitenge uvae upendeze

wadau wanawake wote kwa ujumla.Mtafute fundi wako alipo alafu mpekazi mambo ya copy, paste na editing pia inaruhusiwa.
Embu jichagulie jishono lako hapo yani kwa raha zako mwanamke.